Jumatatu, 15 Januari 2018

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi Kagera Muungwana Blog 2 Monday, January 15, 2018 Rais Dk John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa Mkoa wa Kagera kufuatia vifo vya watu 11 waliofariki leo kwenye ajali ya gari Kwenye taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Serikali ambayo imeelezea jinsi Rais alivyoguswa na kusikitishwa na vifo hivyo, na kuwafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu. "Nimehuzunishwa na kusikitishwa sana na vifo hivi, nawapa pole wafiwa wote na nawaombea marehemu wapumzike mahali pema, na majeruhi wapone haraka ili waweze kuungana na familia zao na kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Rais Dk John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa Mkoa wa Kagera kufuatia vifo vya watu 11 waliofariki leo kwenye ajali ya gari

Kwenye taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Serikali ambayo imeelezea jinsi Rais alivyoguswa na kusikitishwa na vifo hivyo, na kuwafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu.

"Nimehuzunishwa na kusikitishwa sana na vifo hivi, nawapa pole wafiwa wote na nawaombea marehemu wapumzike mahali pema, na majeruhi wapone haraka ili waweze kuungana na familia zao na kuendelea na shughuli zao za kila siku.

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni