Jumatatu, 22 Januari 2018

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za mabalozi sita

 Rais John Magufuli amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi sita walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.
 
Rais John Magufuli amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi sita walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.

Rais Magufuli akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Argentina hapa nchini Martina Gomez Bustillo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni