
Madiwani watatu wa CHADEMA wilayani Longido leo, Jumanne wamejiengua katika nafasi hizo na kujiunga na CCM rasmi.Madiwani hao ni pamoja na Jacob Mollel Silas wa Kata ya Elang’atadapash, Elias Mepukori Mbao wa Kata ya Kamwanga na Diyoo Lomayani wa Kata ya Olmolog .
Madiwani hao wamesema walitoka CCM mwaka 2015 baada ya kutotendewa haki kwenye kura za maoni na kutafuta haki nje ya CCM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni