Ijumaa, 12 Januari 2018

PICHA : Baada ya mvua kunyesha eneo la Fufu Dodoma



Mamlaka ya Hali hewa nchini wametoa tahadhari juu ya uwepo wa mvua katika maeneo mbalimbali Tanzania kuanzia jana January 11, 2018.  leo January 12, 2018 mwana wa liganga inakusogezea Picha, baada ya mvua kubwa kunyesha eneo la Fufu Jimbo la Mtela wilaya ya Chamwino Dodoma.
   










source
millardayo.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni