Jumatano, 3 Januari 2018

#MapinduziCup2018 Mechi imeahirishwa kutokana na mvua kubwa ya mawe inaendelea kunyesha mjini Unguja.

#MapinduziCup2018 Mechi imeahirishwa kutokana na mvua kubwa ya mawe inaendelea kunyesha mjini Unguja. Kipindi cha kwanza cha mchezo kilikuwa tayari kimemalizika.

Dakika 45 za kipindi cha pili zitapigwa kesho saa 8:30 mchana. Kila kitu kilichotokea katika kipindi cha kwanza ikiwemo magoli na kadi kitaendelea kubaki palepale.

HT: Taifa Jang'ombe 1-3 Singida United.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni