Alhamisi, 4 Januari 2018

#MapinduziCup2018 Kipindi cha pili kinayoyoma na ngoma bado ni nzito katika dimba la Amaan, Zanzibar mpaka sasa 'si JKU si ya Yanga'. Dakika ya 65' JKU 0-0 Yanga.

Image may contain: cloud, sky and text

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni