Jumapili, 7 Januari 2018

#LaLiga Mpira umekwisha, na Barcelona imeuanza mwaka 2018 kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Levante na kuzidi kujikita kileleni. Wauaji ni Messi, Suarez na Paulinho. Kuanzia saa 2:30 usiku huu ni Villarreal vs Deportivo La Coruna

Image may contain: text

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni