Jumanne, 2 Januari 2018

DIMBA LA SOKOINE: Hivi ndivyo unavyoonekana uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ukiwa tayari kwaajili ya mpambano wa #VPL kati ya Mbeya City na Kagera Sugar ambao jana uliahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha.

Image may contain: people playing sports, stadium, grass and outdoor

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni