Jumatano, 24 Januari 2018

DAWA ZA KULEVYA:




hehena ya dawa za kulevya imekamatwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Tanga kufuatia msako uliyofanyika kuanzia Januari Mosi hadi leo, Januari 24, kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Beanard Bukombe.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda Bukombe amesema kuwa dawa hizo zilizokamatwa ni mirungi kilogramu 200 na gramu 700.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni