Jumanne, 2 Januari 2018

Babu Seya na Mwanaye waenda Ikulu Kumshukuru Rais Magufuli kwa Kuwasamehe



 Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameshikana Mikono na kuomba dua na Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni