Jumanne, 19 Desemba 2017

yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa 9 wa CCM, picha

Hizi ni baadhi ya picha za matukio mbalimbali yaliyotokea katika mkutano Mkuu wa 9 wa CCM uliokuwa ukiendelea mjini Dodoma,Ambapo kulikuwa na mchakato wa kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho. Mkutano huo unatarajiwa kuisha tarehe 19 Disemba mwaka huu.








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni