Ijumaa, 29 Desemba 2017

Wizara ya mambo ya ndani kupitia kwa katibu mkuu wake Meja Jenerali Mst. Projest Rwegasira, imetoa onyo kwa viongozi wa jumuiya za kidini kutumia mahubiri yao wakati wa ibada kuchambua masuala ya siasa.

Image may contain: text
 Image may contain: text

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni