mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumamosi, 9 Desemba 2017
Wasanii washirikikatika sherehe za Uhuru Dodoma
Baadhi ya Wasanii wa kizazi kipya wanaounda kundi la Tanzania All Stars
wakiwa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania
Bara,yanayoendelea kufanyika kwenye uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni