Ijumaa, 15 Desemba 2017

Spika Ndugai aongelea Wabunge wa C.U.F na CHADEMA waliojiuzulu




Spika wa Bunge Job Ndugai amekutana na Waandishi wa Habari nyumbani kwake Kisesa Dodoma na kuzungumzia ishu mbalimbali ikiwemo kujiuzulu kwa Wabunge wawili ambao ni Mollel wa Siha (CHADEMA) na wa Kinondoni.
Pamoja na hilo, Spika aliulizwa kuhusu malalamiko ya yeye kutokwenda kumjulia hali Mbunge Tundu Lissu toka apigwe risasi na kulazwa Hospitalini Nairobi ambapo amesema “kujibizana na Mgonjwa akiwa kitandani nadhani sio jambo zuri

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni