Patashika ya michuano ya #CECAFA2017 kuendelea leo kwa mechi mbili kupigwa na zote utazishuhudia kupitia Azam Sports 2 pekee.Rwanda kukipiga na Tanzania Bara 'The Kilimanjaro Stars' timu hizi zote zimekusanya pointi 1 tu kutoka katika mechi za awali zilizocheza, leo zinakutana saa 8:00 mchana je nani kuondoka na pointi 3 leo? tazama Azam Sports 2, itakuletea kila kitu.
Weenyeji wa michuano hii Kenya leo kukipiga na 'Zanzibar Heroes' Je na leo Zanzibar Heroes wataendeleza kugawa dozi? Azam Sports 2 itakuapa majibu yote
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni