December 16, 2017 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Taifa kupitia CCM Gaudencia Kabaka alikaribishwa rasmi na umoja wa chama hicho mkoani Dodoma ikiwa ni siku chache baada ya kutangazwa mshindi, Naibu Spika Dr Tulia Ackson ni miongoni mwa washiriki na wageni waalikwa katika hafla hiyo.
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumapili, 17 Desemba 2017
M/kiti mpya UWT alivyopokelewa mbele ya Naibu spika Dr Tulia
December 16, 2017 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Taifa kupitia CCM Gaudencia Kabaka alikaribishwa rasmi na umoja wa chama hicho mkoani Dodoma ikiwa ni siku chache baada ya kutangazwa mshindi, Naibu Spika Dr Tulia Ackson ni miongoni mwa washiriki na wageni waalikwa katika hafla hiyo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni