Miili ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa 14 waliouawa katika mashambulizi huko kivu ya kaskazini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongpo-DRC mwishoni mwa wiki iliyopita imewasili nchini Tanzania leo kwa ajili ya mipango ya mazishi. Lean Mushi na taarifa zaidi.
(Taarifa ya Leah Mushi)
Makao
makuu ya Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani, bendera za nchi
wanachama 193 hazijapandishwa katika milingoti hii leo na ya Umoja wa
Mataifa ikipepea nusu mlingoti.
Hii
ni ishara ya maombolezo ya walinda amani hao kutoka Tanzania waliouawa
na wengine 53 kujeruhiwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
Nimezungumza
na Sylvia Mpanda dada wa mmoja wa marehemu rivate Deogratius Kamili
nikitaka kufahamu nini kinaaendelea kwenye ngazi ya familia
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni