Jumamosi, 23 Desemba 2017

Matokeo: #ASFC Waliokuwa washindi wa pili wa michuano la Kombe la Shikisho la Azam Sports, Mbao FC wameuanza msimu huu kwa kutoa dozi nene wakiwa ugenini na kuungana na Mwadui Fc pamoja na Majimaji FC kutinga raundi ya tatu.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni