Ijumaa, 22 Desemba 2017

#LaLIga Bilbao wanapata bao kwa penati iliyotokana na mwamuzi kuiadhibu Betis baada mchezaji wake Jord Amat kumpiga teke mchezaji wa Bilbao. Amat ametupwa nje kwa kadi nyekundu na sasa Betis wakiwa nyuma kwa bao moja, wako pungufu kwa mchezaji mmoja.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni