umamosi
hii Desemba 23, uwanja wa Santiago Bernabeu utahodhi lile pambano kali
'El Clasico' (The Classic). Real Madrid dhidi ya FC BarcelonaTimu hizi zinaenda kukutana FC Barcelona akiwa anaongoza ligi yupo kileleni mwa msimamo, Je Real Madrid atashinda ili kupunguza pengo la pointi kati yake na vinara hawa ama Barcelona ataondoka na pointi zote 3 na kujiimarisha zaidi kileleni? Azam Sports HD, itakupa kila kitu kuanzia saa 9:00 Alasiri.
Cha kufanya lipia mapemaaa kifurushi cha king'amuzi chako ili usipitwe na pambano hili litakalokuijia kwa lugha adhimu ya Kiswahili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni