Club ya wekundu wa Msimbazi Simba kuelekea kufungwa kwa dirisha dogo la usajili, kupitia mwenyekiti wake wa kamati ya usajili Zacharia Hans Pope ametangaza kuwa Simba katika kipindi hiki cha usajili inamuhitaji mchezaji mmoja pekee.
Simba kwa sasa inamuhitaji nahodha wa Lipuli FC Asante Kwasi ambaye kwa wapo katika mvutano na club ya Lipuli FC, hata hivyo kama bado unajiuliza ni mchezaji gani Simba itamuacha wametangaza kuwa watamuacha Method Mwanjale pekee.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni