
Licha ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kukaririw jana kikikanusha fununu zilizozagaa mitandaoni zikielekeza kuwa Mbunge wa Kibamba (Chadema), Mhe. John Mnyika anatazamiwa kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), bado ishara zimezidi kuonesha kuwa safari ya kinara huyo wa upinzani kuelekea CCM imezidi kuiva.
Tetesi
hizo zimegonga vichwa vya mitandao ya kijamii jana jioni baada ya kada
wa CCM, Jerry Muro kutumia mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuweka
picha ya Rais, Dkt. John Pombe Magufuli na John Mnyika na kuandika
maneno kadhaa kama ifuatavyo;

Wakati
wengi wakitafakari maneno ya Jerry Muro, Mbunge wa Arusha Mjini
(Chadema) naye ametumia mtandao wa kijamii kuandika machache
yaliyotafsiriwa kama maneno yanayoongelea sakata la Mnyika kutimkia
CCM.
==>Lema ameandika yafuatayo;


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni