Alhamisi, 21 Desemba 2017

#ASFC Katika matokeo ya mechi nyingine zilizopigwa leo, Kagera Sugar imeshusha kipigo kwa Makambako na kufuzu raundi ya tatu. Timu nyingine zilizofuzu ni Polisi Tanzania na MajiMaji Rangers.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni