mwanawaligangablog

mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com

Jumanne, 28 Novemba 2017

siku za mwizi ...... jamaa ilifika siku yake shuhudia hapa


Jamaa mmoja kutoka Kirasa katika mji wa Masindi alijikuta akijipeleka katika kituo cha Polisi cha manispaa ya Masinde baada ya kushambiliwa na nyuki bila kukoma.

Jamaa huyo inadaiwa jana, Jumatatu aliripotiwa kuiba vifaa vya muziki aina ya 'Sub Woofer na DVD' na hivyo leo kulazimika kuvirejesha mwenyewe huku akiwa amegandwa na nyuki hao mwilini.

on Novemba 28, 2017
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest
Lebo: kitaifa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

Kunihusu

DEUS THOMAS LIGANGA
deus liganga ni mwanahabari kitaaluma kutoka morogoro, Tanzania mzeeliganga@gmail.com
Tazama wasifu wangu kamili

Kumbukumbu la Blogu

  • Januari 2022 (1)
  • Novemba 2021 (1)
  • Oktoba 2021 (1)
  • Juni 2021 (3)
  • Januari 2021 (1)
  • Septemba 2018 (41)
  • Juni 2018 (170)
  • Mei 2018 (214)
  • Machi 2018 (340)
  • Februari 2018 (375)
  • Januari 2018 (422)
  • Desemba 2017 (261)
  • Novemba 2017 (194)
  • Oktoba 2017 (84)
  • Septemba 2017 (36)
  • Agosti 2017 (48)
  • Julai 2017 (107)
  • Juni 2017 (107)

Lebo

  • burudan
  • burudani
  • kima
  • kimataifa
  • kitaifa
  • MAKALA
  • michezo

Ripoti Matumizi Mabaya

Video Of Day

mwanawaligangablog

mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com

Tafuta katika Blogu Hii

  • Nyumbani

TEASER MLIMBA TV

Machapisho Maarufu

  • ijue historia ya kabila la Wandamba kabila linalopenda kula wali na samaki
            Wandamba ni kabila la Tanzania wanaoishi kiasili katika mkoa wa Morogoro , Wilaya ya Kilombero , hasa ...
  • TEASER MLIMBA TV
  • Hii ndio ripoti ya idadi ya Watu Tanzania
    Ripoti ya makadirio ya watu nchini inaonyesha Tanzania kuna idadi ya watu 54.2 milioni hadi kufikia mwaka 2018 huku ikieleza kuwa kila m...
Mandhari ya Safiri. Inaendeshwa na Blogger.