Jumamosi, 25 Novemba 2017

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali ya vifo vya watu 12



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametumia salama za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Singida kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya watu 12.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni