mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumanne, 28 Novemba 2017
picha ya siku kuelekea miaka 56 ya uhuru wa Tanzania bara.
Nyerere akicheza bao kwake Butiama, akitazamwa na mwandamizi wake katika
urais Ali Hassan Mwini, mke wake Mama Maria, na kaka yake, chifu
Burito.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni