Jumatatu, 27 Novemba 2017

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 41 akiwemo Mbunge wa Mlimba, Susan Kiwanga (CHADEMA) na madiwani wawili.

 
 BAADA YA UCHAGUZI WA UDIWANI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 41 akiwemo Mbunge wa Mlimba, Susan Kiwanga (CHADEMA) na madiwani wawili.
Mbunge Peter Lijualikali wa Kilombero kwa sasa anasakwa, kwa madai ya kufanya fujo na kuchoma moto Ofisi ya Mtendaji kata ya Sofi, Malinyi baada ya kutangazwa matokeo ya udiwani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni