Jumanne, 28 Novemba 2017

Burundi yachukua hatua kudhibiti uchafuzi wa mazingira ziwa Tanganyika



Vita dhidi ya uchafuzi wa mazingira ni mojawapo ya agenda muhimu za Umoja wa Mataifa katika ajenda yake ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030.  Halikadhalika mkataba wa Paris wa mwaka 2015 unahimiza serikali zote duniani kuchukua hatua thabiti katika utekelezaji wa uhifadhi wa  tabianchi kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Vyanzo vya maji kama vile bahari , mito na  maziwa ni kiini cha uhai wa kila kiumbe ni kwa kuzingatia hilo mwandishi wetu wa Maziwa Makuu Ramadhani kibuga anatupeleka huko ziwa Tanganyika nchini Burundi ambako suala la uchafuzi wa mazingira  linachukua sura nyingine . Makala yake ya leo inatujulisha hatua zinazochukuliwa na serikali na  pia jamii ya Burundi katika utekelezaji wa hoja ya  tabianchi katika udhibiti wa uchafuzi wa mazingira.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni