Jumamosi, 25 Novemba 2017

Baada ya majigambo yaliyochukua,mwaka,miezi,wiki hatimaye ubishi wa kuwania taji la uzito wa kati la GBC kati ya Mtanzania, Ibrahim Class dhidi ya Koos Sibiya wa Afrika Kusini kumalizika uwanja wa Uhuru, Dar es salaam, na kurushwa Live Azam TV kupitia chaneli ya ZBC2 kuanzia saa kumi na moja kamili jioni, ni mawe juu ya mawe, vitasa vya uhakika!

Image may contain: 2 people, text

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni