Jumanne, 10 Oktoba 2017

Rais Magufuli ameguswa na vifo vya watu 12 waliozama ziwani Mwanza



Pombe Magufuli ametuma salamu za rambi rambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella kufuatia ajali ya basi la abiria iliyoua watu 12 na kujeruhi watatu baada ya kuzama katika ziwa Victoria baada ya kugonga vizuizi vya kivuko cha Kigongo Wilayani Misungwi na kisha kutumbukia na kuzama majini.

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni