Jumamosi, 16 Septemba 2017

Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe yateketea kwa moto


 Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yaungua moto muda huu.


 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni