Alhamisi, 3 Agosti 2017

haya ndio matokeo ya mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sc na Bidvest fc uko afrika kusini leo.

No automatic alt text available.

mchezo wa kirafiki kati ya klabu ya simba  ya Tanzania ,dhidi ya klabu ya bidvest fc  iliyochezwa asubuhi ya leo mpira umekwisha kwa timu hizo kutoshana nguvu ya Simba Sc 1 Vs 1 Bidvest Fc, goli la simba
limefungwa  na mchezaji Erasto nyoni.

Image result for kikosi cha simba afrika ya kusini images
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni