mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumanne, 25 Julai 2017
Ma-RC Ma-DC Watakao lia Njaa watangaziwa kiama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli amewambia Wakuu wa Mikoa na Wilaya watakao Dhihirisha Mikoa/wilaya zao kuwa zina njaa hawafai kuwa Mkuu wa Mkoa wilaya hiyo
hayo yameelezwa leo na Rais Magufuli alipokuwa Ziarani Mkaoni Sindida ambapo ameeleza kuwa Serikali haitatoa Chakula kwa Wilaya au Mkoa utakao kuwa na Njaa na kwamba Ma-DC na ma-RC, wa sehemu husika hawatafaa kuwa kwenye nafasi hizo
Rais Magufuli ameeleza kuwa Ma-Dc na Ma-RC wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasisha kazi kwa wananchi
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni