


Wachezaji
30 wa timu za soka za mataifa mbalimbali wameshiriki kuweka rekodi ya
kwanza Duniani kwa kucheza mchezo wa kirafiki katika mlima Kilimanjaro
,umbali mita 5731 kutoka usawa wa bahari .
Rekodi
nyingine iliyowekwa ni ile ya mwamuzi wa kike wa Tanzania
anayetambulika na Shirikiho la Soka Duniani (FIFA) ,Jonesia Rukyaa
kuchezesha mchezo huo wa dakika 90 uliomalizika kwa sare ya bila
kufungana .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni