Alhamisi, 22 Juni 2017

Manispaa ya Dodoma yatoa tahadhari ya utapeli



 Manispaa ya Dodoma ina utaarifu umma juu ya matapeli waliobuka kwa njia ya simu, ambao wamekuwa wakijitangaza kama Maafisa wa Manispaa wamekuwa wakitumia vyeo mbalimbali na kuwaambia wananchi kuwa wanatakiwa kulipa kodi ya viwanja na majengo kwa miamala ya simu.

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni